» » Makosa ya barabarani yaongezeka Mwanza

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Mwanza. Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabara kimekamata makosa 11, 088 kwa kipindi cha Juni kutoka makosa 10,389 yaliyotokea Mei.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi amesema jana kuwa  kuongezeka kwa idadi ya makosa hayo kumetokana na umakini wa askari wa usalama barabarani katika kudhibiti wavunjaji sheria.

Amesema kutokana na makosa hayo,  wamekusanya zaidi ya Sh329.7 milioni zikiwa ni tozo za faini.

“Hata hivyo, makosa makubwa ya uhalifu yameongezeka Juni kufikia 232, ikilinganishwa na 197 ya Mei,” amesema Msangi.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post