ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO
Mpaka sasa Watu 4 wafariki na 10 kujeruhiwa katika ajali ya basi la NBS.
Pia kunaajali nyingine ya basi la KISBO likijeruhi watu kadhaa Morogoro. Basi la Kisbo T895CYL Limepata ajali ya kuparuzana na trailer flatbed eneo la Magubike Kilosa.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO