Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akisimama kwa ukakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa akiwa na Mkuu
Wizara ya fedha na Mipango Dkt Servacius Likwelile, Gavana wa Benki Kuu
ya Tanzania, Profesa Benno Ndullu, na Mkuu wa Mkoa wa Dar e3s salaam Mhe
Paul Makonda kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania
kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akihutubia wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania
kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akibofya kitufe kuashiria uzi8nduzi rasmi wa maadhimisho ya miaka 50 ya
benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo
Juni 22, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akizindua sarafu maalumu ya shilingi 50,000/- kwenye maadhimisho ya
miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es
salaam leo Juni 22, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akizindua Kitabu kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya benki kuu ya Tanzania
kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni 22, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akiwa na Bodi ya wakurugenzi wa BOT kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya
benki kuu ya Tanzania kwenye ukumbi wa BOT jijini Dar es salaam leo Juni
22, 2016.