Imefahamika hapa mjini Dar kwamba Mama Mzazi wa Le Mutuz Nation atafanyiwa Misa Maalum ya kumuombea ambayo itafanyika hapa Mjini Dar katika Kanisa Maarufu la Azania Front Church siku ya Jumamosi ijayo tarehe 25/6/2016 kuanzia Saa Sita Mchana.
Misa hiyo itawapa nafasi Marafiki wa karibu wa Le Mutuz Nation ambao hawatapata nafasi ya kufika Tunduma kesho kwa ajili ya Mazishi. Anaandika Le Mutuz Nation kwenye Instagram yake kwamba "I am the Only child of my Mother so this is my Cross" akiwa na maana kwamba huu msiba ni wake kwa sababu ndiye mtoto pekee wa Mama yake aliye hai.
Pia Le Mutuz aliongeza kwamba "Ni kazi ya Mungu na as a Man nimeikubali".