Kifaa hichi kinaitwa BACtrack nikifaa maalum kabisa ambacho unaweza kukiunganisha nasimu yako nakutambua nikwakiasi gani umelewa pia kuna uwezo wakukuwezesha wewe mtumiaji au mnywaji kushare twitter na facebook kiasi cha ulevi uloilewa kama niasilimia 50 ama asilimia 100..
Pia Kupitia kifaa hichi utaweza kuwaona watumiaji wengine duniani kote waliolewa na kiasi cha ulevi wao..
Kifaa hichi kintumiapuumzi yako kuweza kujua umelewa kiasi gani.
mbali na hayo yote kifaa hichi pia kitasaidia walevi wengi kujijua nikwakisi gani pombe inamdhara katika miiili yao..
Kifaa hichi pia kitakusaidia wewe mlevi kujua nikwa mda gani unaweza kulewa baada ya kuanza kunywa pombe..pia itakuwezesha kupiga picha ya aina ya pombe unazokunywa na pia kuhifadhi kumbukumbu ya kila ulevi..
Ramani hii inaonesha wanywaji wapombe duniani kote wanaotumia kifaa hiki
system hii kwasasa inapatikana kwawale wote wanaotumia IPOD na IPHONE mda sio mrefu watumiaji wa android nokia na blackberry nao wataipata.