Hitmaker wa ‘Angejua’, Dayna Nyange amedai kuwa mapenzi ya mastaa
wengi wanaotoka na wasanii wenye umri mdogo yamekuwa kama fashion siku
hizi huku wengi wao wamekuwa wakifuata mkumbo.

Dayna amesema, “Imekuwa kama fashion sasa hivi na wengine wamekuwa wanakwambia ni mapenzi tu.”
“Sawa kuna mapenzi lakini wengi wao wamekuwa wakifuata mikumbo. Siyo kama wanaume wa rika lao
wanakuwa hawapo, wapo lakini wanaamua tu kufanya hivyo,” alisema Dayna.
“Wakati mwingine ujana na ustaa unaweza ukafanya kitu ambacho siyo kama ulitaka kufanya ila kwa
sababu ulishaona kama ukifanya mashabiki watapenda. Binafsi mimi sifikirii wala sitoweza wala kutamani
kudate na mtu nimemzidi umri,” aliongeza.