» » BREAKING NEWS..!! AJALI YA BASI IKITOKEA TABORA KUELEKEA MOSHI INAYOHUSISHA BASI LA KAMPUNI YA COSTA LINE

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO
Wadau hiyo ni ajali aliyotokea asubuhi hii na mdahuu eneo la kizonzo shelui mkoani singida. Ajali ambayo inahusisha basi ya kampuni ya coast line iliyokuwa ikitokea mkoani Tabora kuelekea Moshi. Hakuna vifo ila majeruhi ni wenhi. Mungu awalinde poleni sana wahanga.
TAZAMA PICHA HAPO





ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post