Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Ahamed Msangi alimtaja aliyeuawa katika tukio la fumanizi kwa jina moja la Idd .
Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Ahamed Msangi alimtaja aliyeuawa katika tukio la fumanizi kwa jina moja la Idd (35), fundi kinyozi, mkazi wa kijiji cha Kome wilayani Ukerewe.
Alisema mtu huyo aliuawa kwa kupigwa hadi kufa na watu wenye hasira baada ya kutuhumiwa kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mmoja wa mwana kijiji.
