» »Unlabelled » Wagombea Dimani macho yao kwa NEC leo

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO




Dar es Salaam. Vyama vya CCM, CUF na ACT-Wazalendo vimewateua wagombea wao watakaopeperusha bendera kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Dimani, Zanzibar.

Wagombea hao waliopitishwa na vyama vyao sasa wanasubiri hatua ya mwisho ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ya kupitisha majina ya wagombea.

Kwa mujibu wa ratiba ya NEC, uteuzi wa wagombea ubunge wa jimbo hilo utafanyika leo na kesho wagombea watakaothibitishwa wataruhusiwa kuanza kampeni.

Uchaguzi huo utafanyika Januari 22, mwakani na utakwenda sambamba na wa kata 22 katika halmashauri 21 za Tanzania Bara
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post