» »Unlabelled » Tamasha La Sikukuu Ya Krismasi La”Nogesha Upendo” La Wcb Wasafi Lanoga Dar Es Salaam Na Iringa

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Sehemu ya umati ya wakazi wa manispaa ya Iringa waliojitokeza katika”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania  lilifanyika katika uwanja wa Samora mjini Iringa jana.

Msanii kutoka WCB, Harmonize akitumbuiza katika”Nogesha Upendo”lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania  lilifanyika katika uwanja wa Samora mjini Iringa jana..

Msanii wa kimataifa Diamond Platinumz akitumbuiza katika”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania  lilifanyika katika uwanja wa Samora mjini Iringa jana..

Wasanii wa muziki wa kundi la Navy Kenzo wakiwapagawisha mashabiki wakati wa tamasha la mkesha wa sikukuu ya krismasi la”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania  lilifanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi  Jangwani Seabreez jijini Dar es Salaam.

Mwanamuziki nguli wa muziki wa bongo fleva Diamond Platinumz akikonga nyoyo za  mashabiki wake wakati wa tamasha la mkesha wa sikukuu ya krismasi la”Nogesha Upendo” lililoandaliwa na WCB Wasafi na kudhaminiwa Vodacom Tanzania  lililofanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi  Jangwani Seabreez jijini Dar es Salaam.

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post