» »Unlabelled » Donald Trump akosoa Umoja wa Mataifa

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Tuesday, December 27, 2016

Donald Trump alitoa ujumbe uliosema "Licha ya kuwa UN ina uwezo mkubwa,cha kusikitisha ni kuwa viongozi wa muungano huo hufanya mikutano ya kuzungumza tu na kujiburudisha pamoja ."

Donald Trump akosoa Umoja wa Mataifa

Trump alitoa wito kwa baraza la usalama la UN kuchukua hatua na kutafuta suluhisho la waisrael wanaoishi katika ardhi ya wapalestina kinyume na Sheria .

Donald Trump pia aliwahi kuwa kiongozi katika baraza la usalama la UN alisema katika ujumbe kuwa baada ya kuapishwa kwake Januari 20 shughuli katika UN zitaendeshwa ipasavyo.

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post