» »Unlabelled » Steven Gerrard hatimaye katundika daruga

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Mchezaji wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya England Steven Gerrard ametundika daruga baada ya miaka 19 ya kusukuma gozi la ng’ombe.

Gerrard, 36, aliichezea Liverpool katika mechi 710 na kufanikiwa kushinda mataji nane tofauti lakini alijiunga na ligi ya MLS akiitumikia klabu ya LA Galaxy mwaka 2005.

Kiungo huyo wa zamani wa England ni mchezaji wanne aliyecheza mechi nyingi za timu ya taifa akiwa amevaa uzi wa England mara 114 kuingoza timu kama nahodha katika mashindano matatu kati ya sita aliyowahi kucheza.

“Najiona mwenye bahati kushuhudia highlights zangu nyingi nikiwa kama mchezaji,” hayo ni maneno ya Gerrard.
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post