Fred Uisso akiwa na Mratibu wa Taifa wa WORLD FOOD CHAMPIONSHIP Bi. Julie Haunn
Mshindi wa kwanza kwenye shindano hilo alipewa zawadi ya $300,000.
Rais na CEO wa WFC, Mike Mc Cloud akimkabidhi tuzo Fred Uisso baada ya kuibuka mshindi wa nne
Kwenye picha hiyo juu aliyoweka Instagram, Uisso ameandika: Nikiwa na wafanyakazi wa Emirates airlines flight EK 212 from Texas to Dubai. Nilipata Heshima kubwa kwa rubani kuwatangazia abiria wote kuwa kwenye ndege hii Kuna WORLD CHEF CHAMPION NUMBER 4 na ilipigwa CHEERS👏👏👌 na abiria wote. Tnx again Emirates airlines for a kind hospitality. Kesho jumatatu saa 9 alasiri ntatua home na Emirates. MUNGU NI MWEMA SANA.”