» »Unlabelled » Dongo la Diamond Lamtoa Mapovu Aliyekuwa Mume wa Zari Ivan....Meseji zavuja Zari Akimuomba Msamaaa

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

Hali ni Tete Madale....Dongo la Diamond aliloandika kuhusu wale wanaojisifu kuwa wanahela lakini watoto wao wanaishi kwenye nyumba ya kupanga limemfikia mwenyewe ambae ni mume wa dhamani wa Zari aitwaje Ivan , Nimepitia kwenye mitandao nimekuta mazungumzo yaliyovuja ambayo yanasemekana ni kati ya Zari na Ex Wake huyo baada ya Ujumbe wa Diamond Kuwafikia mpaka watoto wao ambao walizaa pamoja.

Nimekuwekea Hapa hayo mazungumzo ambayo yasemekana yamevuja kutoka kwa mmoja wao:


Source:Tzshadroom
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post