Klabu ya Manchester United inam'mezea mate Paul Pogba lakini hakuna
mpango wowote wa kuonyesha kuna mazungumzo ya kumsajili mchezaji huyo
yameanza.
Uvumi umekuwepo kuhusu uhamisho wa mchezaji huo wa pauni milioni 100 unaotarajiwa kuvunja rekodi ya dunia,lakini BBC Sport imeambiwa kuwa hakuna mazungumzo yoyote yalioanza kati ya Manchester United na Juventus.
Cha mno ni kwamba Pogba kwa sasa anaichezea timu ya Ufaransa na hangependa kuathiri matayarisho yake ya fainali ya Euro siku ya Jumapili dhidi ya Ureno.