» » Faiza asema toka aachane na Baba Sasha hajafanya mapenzi na mtanzania, aeleza sababu

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO


Msanii wa filamu na Mama wa mtoto mmoja aitwae Sasha, Faiza Ally amedai hajawahi kufanya mapenzi na mtanzania yeyote toka aachane na aliyekuwa mume wake Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ kwa madai kuwa anaogopa kuzalilishwa.
Sugu na Faiza
Muigizaji huyo amesema hali hiyo imekuja kutokana na matukio ya uzalilishaji wa wanawake ambayo yanaripotiwa kutokea katika sehemu mbalimbali hapa nchini.
Kupitia instagram, Faiza ameandika:

Wanaume acheni kuzalilisha wanawake, video imenisikitisha na mwanamke yoyote atakaye ipost ni mjinga, maana ana chofanya naye ni uzalilishaji. Kusema kweli toka niachane na Baba Sasha sija date na mtanzania Kwa sababu naogopa unaweza ukahisi unatongozwa kwa heri Kumbe mtu kakupania kukuzalilisha! Nimesikitishwa lkn kwa hatua zilizo chukukuliwa na serekali na juhudi za muandishi nimeshukuru sana sana! Na Niko tayari hata kuandamana kupinga wanaume wazalilishaji# na nukuu maneno kutoka bungeni #wanawake ni mama zenu#dada zenu#mabinti zenu#shangazi zenu #ACHENI KUTUZALILISHA 😑
ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Mashak

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post