» »Unlabelled » Jitibu Magonjwa Mbalimbali Kwa Kunywa Maji Ya Uvuguvugu

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

 Sunday, December 11, 2016 

Glasi  ya  maji  ya  Uvuguvugu. 

Ifuatayo  ni  orodha  ya  baadhi  ya  magonjwa  yanayo weza  kutibiwa  kwa  maji  ya  Uvuguvugu

  1. - pumu= asthma
  2. - shinikizo la damu= hbp 
  3. - migraine / kichwa= migraine/ headache
  4. - ugonjwa wa sukari= diabetes 
  5. - upungufu wa damu= anemia
  6. - maumivu nyuma= back pain
  7. - mawe katika figo= urinary calculus 
  8. - maambukizo wa haja ndogo= urinary tract infection 
  9. - cholesterol= cholesterol
  10. - baridi yabisi & ugonjwa wa mifupa= rheumatism & arthritis 
  11. - kiharusi =stroke 
  12. - udhaifu wa mwili =sexual and body weakness
  13. - kuchoka & uchovu = tiredness & fatigue
  14. - tonsili =tonsillitis 
  15. - vijidudu vya tumbo = gastroenteritis (stomach virus)
  16. - mafua/homa =colds, flu & fever 
  17. - kukosa usingizi= insomnia (lack of sleep) 
  18. - kichome kwenye roho= heartburn 
  19. - kidonda tumboni =stomach ulcer
  20. - kuvimbiwa (ugumu kupata haja kubwa) =constipation
  21. - kutetemeka mwili kutokana na umri= parkinsonism 
  22. - kupoteza nywele (upaa) =hair loss (baldness)
  23. - magonjwa ya ngozi=skin diseases (psoriasis)
  24. - kasoro ya ubongo =alzheimer (defects of the brain) 
  25. - maradhi ya moyo =heart disease 
  26. - saratani= cancer 
  27. - usafisha heidh ya kila mwezi ya wanawake= purifying women's monthly period
MATUMIZI:
Kunywa    glasi  mbili  ya  maji  ya Uvugvugu  asubuhi  unapo amka kabla ya kwenda chooni kupiga mswaki na kabla  ya  kula  chochote  na unapo maliza kupiga mswaki kunywa tena

Maji ya Uvuguvugu glasi 1 na kaa kwa muda wa saa 1 ndio waweza kula chakula cha asubuhi. Na wakati wa mchana kunywa tena glasi 2 kabla ya kula kitu kisha kaa baada ya saa 1 kupita waweza kula chakula cha mchana. Na wakati wa   usiku kabla ya kula chakula

cha usiku kunywa tena Maji ya Uvuguvugu glasi 2 kaa baada ya saa 1 kupita waweza  kula. kabla  ya  kulala kunywa glasi 1 ya Maji ya Uvugvugu kisha waweza kulala. Fanya  hivyo kila siku  katika maisha yako maradhi yote yatakuondokea kabisa utapona.

ILI UPATE HABARI ZETU KWA URAHISI BOFYA HAPA KUINSTAL APPLICATION YA MZALENDO HURU KWENYE SIMU YAKO

About Unknown

About Mzalendo Huru Staff:

Send us your articles, questions, feedback, suggestions, press releases and all others to Whats app on +255657905751
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post